Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » HAJI MANARA AIJIA JUU YANGA, ASEMA ATAWACHAPA VIBOKO
    Habari za Michezo

    HAJI MANARA AIJIA JUU YANGA, ASEMA ATAWACHAPA VIBOKO

    ChikaoBy ChikaoApril 30, 202601 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    haji manara
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email
    Mtangazaji wa Wasafi FM na mwanachama wa Yanga, Haji Manara, ametoa onyo kali kwa klabu yake kufuatia kupoteza fainali ya Muungano dhidi ya Simba SC. Manara amekosoa tabia ya kujiamini kupiliza na dharau iliyoonyeshwa na upande wa Yanga kabla ya mchezo, akisisitiza kuwa dabi haihitaji mbwembwe za nje ya uwanja bali maandalizi ya dhati. Ameonya kuwa kama nidhamu haitatawala, Yanga inaweza kukumbana na kipigo kingine Jumapili ijayo katika mchezo wa Ligi Kuu.
    ​”Ndio football but na Sisi tupunguze midomo midomo, tunachonga mno kupitiliza wakati kocha wetu ni Muomba Mungu tu!! Tulionyesha kujiamini kupitiliza nje ya uwanja na kufanya mbwembwe nyingi za kipuuzi, Show za kindezi kibao kabla ya mechi tukasahau uzito wa kukutana na Makolo. Derby haihitaji dharau na tusipokuwa makini watatukanda tena Jumapili!! Na Wallah Wakishinda ntakuja na viboko hapo Kaunda kuwatandika.”
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHANS RADAEL: YANGA INAHITAJI MABORESHO MAKUBWA SANA

    Related Posts

    HANS RADAEL: YANGA INAHITAJI MABORESHO MAKUBWA SANA

    April 30, 2026

    MECHI NA SIMBA ILIKUWA YA KIRAFIKI

    April 30, 2026

    Mshindi lazima apatikane leo Yanga SC vs Simba SC, Muungano CUP

    April 29, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HAJI MANARA AIJIA JUU YANGA, ASEMA ATAWACHAPA VIBOKO

    HANS RADAEL: YANGA INAHITAJI MABORESHO MAKUBWA SANA

    MECHI NA SIMBA ILIKUWA YA KIRAFIKI

    Wafungaji Bora Mapinduzi Cup 2026

    Mshindi lazima apatikane leo Yanga SC vs Simba SC, Muungano CUP

    IBENGE AKIRI KUTORIDHISHWA NA KIWANGO CHA WACHEZAJI WAKE

    matokeo ya Azam FC vs Yanga SC Leo 25/04/2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.