Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » SIMBA MBONI KUMALIZANA NA BEKI HUYU WA KAZI KUTOKA AL HILAL
    KITAIFA

    SIMBA MBONI KUMALIZANA NA BEKI HUYU WA KAZI KUTOKA AL HILAL

    ChikaoBy ChikaoJanuary 11, 202601 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    simba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email
    Beki wa kimataifa wa Mauritania, Khadim Diaw (27), amekuwa lulu sokoni mwezi huu wa Januari 2026 baada ya kuvunja mkataba wake na klabu ya Al Hilal Omdurman kutokana na madai ya kutolipwa mishahara kwa miezi kadhaa.
    Hivi sasa, beki huyo mzoefu yuko kwenye mazungumzo ya kina na miamba kadhaa ya soka barani Afrika, ikiwemo Simba SC ya Tanzania, pamoja na klabu za Algeria za MC Alger na JS Kabylie ambayo inatajwa kumpa ofa ya mkataba wa miaka mitatu ili kuimarisha safu yao ya ulinzi.
    ​Licha ya Simba SC {@simbasctanzania} kuonyesha nia ya dhati ya kumnasa Diaw kwa ajili ya mashindano ya kimataifa, ushindani umekuwa mkubwa kutoka kwa JS Kabylie ambao tayari wamefikia makubaliano ya awali na mchezaji huyo kufuatia kushinda kesi yake ya kimkataba dhidi ya Al Hilal mbele ya FIFA.
    Diaw anasifika kwa uwezo wake mkubwa wa kuzuia na kupandisha mashambulizi kupitia pembeni (overlapping), sifa ambazo zimemfanya kuwindwa pia na Raja Casablanca na ES Sétif kuelekea mzunguko wa pili wa msimu huu.
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMIANO: KINDA MTANZANIA ALAMBA DILI NONO ULAYA
    Next Article JAYRUTTY KUMSHUSHA MCHEZAJI GANI KWA WAKATI HUU??

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.