HANS: "Yanga inaenda kuokota pointi 6 mbele ya Azam na Mashujaa"

Mchambuzi wa soka, Hans Rafael, ameweka doti kwenye mstari kuhusu mustakabali wa Yanga SC baada ya kuachana na kocha wao mkuu, Manqoba Mngqithi.
Licha ya timu hiyo kwa sasa kutokuwa na kiongozi mkuu wa benchi la ufundi, Hans Rafael akiongea kwenye kipindi cha Crown Sports ametoa utabiri mzito akisema: “Yanga inaenda kuokota alama zote 6 kwenye mechi zinazofuata dhidi ya Mashujaa FC na Azam FC.”
Je, mashabiki wa Yanga mnakubaliana na mtazamo huu wa Hans Rafael? Au kuondoka kwa Mngqithi kunaweza kugharimu alama hizi?






