Rais wa klabu ya Estudiantes Juan Sebastian Veron amepigwa marufuku ya miezi sita na Chama cha Soka cha Argentina kwa sababu alikataa kusimama kutoa heshima kwa mabingwa wapya Rosario Central. Kiungo huyo wa zamani wa Manchester United na Chelsea pamoja na wachezaji wake wa Estudiantes walikuwa waki
Klabu ya Manchester United imekamilisha makubaliano ya kumsajili golikipa Senne Lammens raia wa Ubeljiji akitokea Royal Antwerp FC, huku akitarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano. Lammens mwenye umri wa miaka 23 anatarajiwa kusaini mkataba mpya na mashetani hao wekundu wa old trafford kabla ya kuf
Winga wa Manchester United, Jadon Sancho, yuko kwenye hatua za mwisho za kujiunga na AS Roma kwa mkopo wa mwaka mmoja.Kwa mujibu wa taarifa, thamani ya dili hilo inafikia euro milioni 20, dau ambalo AS Roma wanaamini litaivutia Manchester United kukubali. Sancho, ambaye amejiunga na Manchester Unite