Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO
    KITAIFA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    ChikaoBy ChikaoApril 19, 202601 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    kibabage
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema timu hiyo itawakosa baadhi ya nyota wake muhimu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Namungo FC utakaopigwa leo Aprili 19, 2026, kwenye Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.

    Wachezaji watakaokosekana ni beki wa kushoto Nickson Kibabage ambaye anaendelea kuuguza majeraha, pamoja na kiungo Alassane Kante anayekosa mchezo huo kutokana na adhabu ya kadi nne za njano.

    Pamoja na changamoto hiyo, Matumaini bado ni makubwa baada ya kurejea kwa Shomari Kapombe na Yusuph Kagoma, ambao wanatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachoshuka dimbani dhidi ya Namungo FC.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleKAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”
    Next Article TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    April 17, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.