Author: Chikao
Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa kocha Fadlu amepiga pause baadhi ya sajili kuelekea msimu ujao akiwataka viongozi kutafuta Quality zaidi na kama watakosa basi ndio…
CHE Malone ndo basi tena ndani ya kikosi cha Simba SC baada ya kupata changamoto mpya nje ya Tanzania hivyo msimu wa 2025/26 hatakuwa ndani ya…
INAELEZWA kuwa nyota wa zamani wa Yanga SC, Clatous Chama anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Singida, Singida Black Stars inayotumia Uwanja wa Liti. Chama…
Lamine Yamal pichani na Wazazi wake wote wawili ambao wametengana huku Mama yake akiwa ameolewa tayari, lakini kwasasa wanakutanishwa zaidi na Mtoto wao katika shughuli mbalimbali…
Habari mwanafamilia wa SokaLeo Pitia Kurasa za Magazeti ya michezo leo Jumatano ya July 30, 2025
WAKATI jina la kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum likitajwa kuwa miongoni mwa wale ambao wamefuatwa kwenye sanduku la usajili la Simba SC katika kina…
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Simba SC msimu wa 2024/25 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC Jean Ahoua huenda akaondoka ndani ya…
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwa maandalizi ya msimu wa 2025/26 kitaweka kambi nchini Misri. Ikumbukwe kwamba leo Julai 29 2025…
MTENDAJI Mkuu wa Simba SC, Zubeda Sakuru amesema kuwa mkataba ambao wameingia na wadhamini wapya ambao ni BetWay unakwenda kuleta mapinduzi makubwa kwenye mchezo wa mpira…