Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi mshambuliaji Andy Bobwa Boyeli (24) kama mchezaji mpya wa kikosi hicho kwa mkataba wa mkopo wa msimu mmoja kutoka Sekhukhune United…
Author: Chikao
Habari mwanafamilia wa SokaLeo Pitia Kurasa za Magazeti ya michezo leo ya Aug 01, 2025
Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Queens, Precious Christopher amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Yanga Princess wenye kipengele cha kuongeza kama atafanya vizuri. Msimu uliopita Precious…
Unaweza kuliita pigo kuu kwa timu ya taifa ya Kenya, maarufu kama ‘Harambee Stars’ inayoshiriki michuano ya CHAN 2024, baada ya kiungo wao fundi Mohammed Bajaber…
Kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania Morice Abraham amejiunga rasmi na wekundu wa msimbazi kama mchezaji wao kuelekea msimu ujao wa mashindano akitokea Spartak Subotica ya…
Bodi ya ligi kuu soka Tanzania bara imetangaza rasmi kuwa msimu mpya wa ligi kuu soka Tanzania bara utaanza Septemba 16,2025. Kwa namna heka heka za…
Klabu ya Azam FC imeendelea na harakati zake za kusaka ubingwa kwa msimu ujao kwa kumsajili rasmi winga hatari Pape Doudou Diallo, raia wa Senegal mwenye…
NI majeraha ambayo yalifanya asionyeshe ubora wake akiwa katika uwanja msimu wa 2024/25 na alipata maumivu makubwa kwenye mchezo dhidi ya TaboraUnited alipokomba dakika 10 pekee,…
Klabu ya Simba SC imesitisha mchakato wa kumpa mkataba beki wa kushoto Khadim Diaw kutoka Al Hilal na wameweka nguvu kwa Pascal Msindo wa Azam FC…
FIFA imewaondolea Singida Black Stars,adhabu ya kutosajili baada ya kulipa madeni yote ya wachazaji wao watatu. Awali Singida walikumbana na Rungu la FIFA baada ya kushindwa…