Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » KOCHA FADLU ASIMAMISHA BAADHI YA SAJILI SIMBA
    KITAIFA

    KOCHA FADLU ASIMAMISHA BAADHI YA SAJILI SIMBA

    ChikaoBy ChikaoJuly 30, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa kocha Fadlu amepiga pause baadhi ya sajili kuelekea msimu ujao akiwataka viongozi kutafuta Quality zaidi na kama watakosa basi ndio wachukue hao wa chezaji na miongoni mwa sajili hizo ni pamoja na ya Khadim Diaw na Rodriguez Kossi

    Kiungo Rodriguez Kossi anakaribia kujiunga na klabu ya Hassania Union Sport Agadir ya nchini Morocco akiwa mchezaji huru

    Beki Khadim Diaw bado anamkataba wa miaka miwili na Al Hilal na hana ofa nyingine kwa sasa tofauti na hiyo ya Simba Sc’

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleBAADA YA CHE MALONE KUAGWA SIMBA SC, HUYU NDIO MRITHI WAKE
    Next Article MAGAZETI YA MICHEZO LEO ALHAMISI TAREHE 31-7-2025

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.