Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » MDHAMINI MPYA SIMBA SC BETWAY MKATABA WAKE THAMANI NI BILIONI 20
    KITAIFA

    MDHAMINI MPYA SIMBA SC BETWAY MKATABA WAKE THAMANI NI BILIONI 20

    ChikaoBy ChikaoJuly 29, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    MTENDAJI Mkuu wa Simba SC, Zubeda Sakuru amesema kuwa mkataba ambao wameingia na wadhamini wapya ambao ni BetWay unakwenda kuleta mapinduzi makubwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu Tanzania kutokana na thamani iliyopo kwenye mkataba huo wa miaka mitatu.

    “Mkataba ambao tumeingia unakwenda kuleta mapinduzi kwenye mchezo wa soka hapa Tanzania na unakwenda kuongezea nguvu dhamira ya Simba kuwa klabu namba moja barani Afrika.

    “Udhamini huu ambao thamani yake ni Bilioni 20 kwa miaka mitatu, unaonyesha namna Simba imedhamiria kuleta mabadiliko ya kuwa klabu kubwa,”.

    Ni Julai 29 2025 Simba SC imetangaza jambo hili kubwa kwa Watanzania na mashabiki wa Simba SC ambayo itakwenda kuweka kambi Misri.

    Msafara wa Simba SC unatarajiwa kukwea pipa Julai 30 2025 kwa ajili ya ziara maalumu ambayo ni kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 Simba SC mdhamini wake mkuu alikuwa ni M Bet.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHUKO SIMBA MAMBO NI KIMYA KIMYA….HII HAPA MASHINE YA KAZI MRITHI WA TSHABALALA
    Next Article RASMI SIMBA KUWEKA KAMBI YAKE MISRI, MAANDALIZI YA MSIMU MPYA 2025/2026

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.