Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » BAADA YA CHE MALONE KUAGWA SIMBA SC, HUYU NDIO MRITHI WAKE
    KITAIFA

    BAADA YA CHE MALONE KUAGWA SIMBA SC, HUYU NDIO MRITHI WAKE

    ChikaoBy ChikaoJuly 30, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    CHE Malone ndo basi tena ndani ya kikosi cha Simba SC baada ya kupata changamoto mpya nje ya Tanzania hivyo msimu wa 2025/26 hatakuwa ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids.

    Che Malone anatajwa kupata timu nchini Algeria kwa ajili ya changamoto mpya na tayari Simba SC wamempa Thank You beki huyo aliyekuwa chaguo la kwanza kikosi cha Simba SC.

    Mrithi wa Che Malone ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa Simba SC raia wa Afrika Kusini ambaye aliwahi kucheza Mamelod Sundowns anaitwa Rushine De Reuck.

    Julai 30 2025, Che Malone amekutana na Thank You hivyo hatakuwa ndani ya Simba SC kwa msimu ujao kwenye mechi za ushindani.

    Beki mpya ambaye ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa Simba SC yupo kwenye msafara wa Simba SC uliokwenda Misri kwa maandalizi ya msimu ujao wa 2025/26.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleKIUNGO YANGA SC KUIBUKIA SINGIDA BLACK STARS
    Next Article KOCHA FADLU ASIMAMISHA BAADHI YA SAJILI SIMBA

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.