TIMU ya Fountain Gate FC imemtambulisha mchezaji chipukizi Juma Issa Abushiri (Chuga) kutoka timu ya taifa ya vijana ya Tanzania (U-17). Nyota huyo amesaini mkataba wa…
Author: Chikao
MSIMBAZI kumeanza kumechangamka kupitia usajili baada ya dirisha la usajili kufunguliwa huku wakiwa hajatangaza mchezaji hata mmoja mpya ambaye ameshasaini kandarasi Simba SC. Mabosi wa Singida…
Feisal Amekubali Kusaini mkataba wa awali wa miaka miwili na Simba SC lakini amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake na Azam FC. Makubaliano ni kati ya…
Habari mwanafamilia wa SokaLeo Pitia Kurasa za Magazeti ya michezo leo Jumapili ya July 27, 2025
Winga Offen Chikola, amesema kwake itakuwa rahisi kujitangaza na kupata soko la kucheza la kulipwa nje ya Tanzania baada ya kujiunga na Yanga. Chikola anasema hata…
Yanga Africa sio tu wanaongeza Technicall Quality wanaendelea Kupunguza pia Umri wa Midfield Yao Kuelekea Msimu Mpya..✍️ Out Khalid Aucho (32) In Moussa Balla Conte (21)…
LASSINE Kouma kapewa jezi namba 8 ambayo iliwahi kuvaliwa na mastaa wakubwa katika kikosi hicho akiwemo Haruna Niyonzima kiungo aliyekuwa anafanya watu wadhani mpira ni kazi…
DILI la kiungo wa Azam FC Feisal Salum kuibukia ndani ya kikosi cha Simba SC ni gumu kutokana na mkataba wake uliobaki na gharama za uhamisho…
Klabu ya Simba inaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa klabu ya Mamelodi Sundowns Neo Maema ili kupata huduma yake kwa mkopo kuanzia msimu ujao.…
Cv ya Romain Folz Kocha Mpya wa Yanga 2025/2026 Timu ya Wananchi Yanga SC leo, Jumatano Julai 23, 2025, wamemtangaza rasmi kocha mpya ambaye amekabidhiwa jukumu…