Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » TETESI: ‘AHOUA’ MTAMBO WA MABAO WA SIMBA, KUONDOKA MSIMU HUU
    KITAIFA

    TETESI: ‘AHOUA’ MTAMBO WA MABAO WA SIMBA, KUONDOKA MSIMU HUU

    ChikaoBy ChikaoJuly 29, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Simba SC msimu wa 2024/25 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC Jean Ahoua huenda akaondoka ndani ya Bongo kwenda kupata changamoto mpya.

    Inaelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC raia wa Ivory Coast, Ahoua yupo kwenye rada za Klabu ya JS Kabylie ya nchini Algeria kwa ajili ya msimu ujao wa 2025/26.

    Habari zinaeleza kuwa kuna mazungumzo ambayo yanaendelea kati ya Simba SC na timu ambayo inamuhitaji mchezaji huyo mwenye uwezo mkubwa kutumia mguu wake wa kulia katika kufunga.

    Ahoua ni namba moja kwa utupiaji ndani ya ligi alifunga jumla ya magoli 19 na kutoa pasi 9 za magoli akiwa na uzi wa Simba SC msimu wa 2024/25.

    Ikiwa dili litajibu Ahoua anatarajiwa kuwa mchezaji wa pili kutoka katika Ligi Kuu Tanzania Bara kujiunga na JS Kabylie, mwingine ni kiungo mchezeshaji, Arthur Bada aliyejiunga na kikosi hicho akitokea Singida Black Star.

    Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC hivi karibuni aliweka wazi kuwa kwa mchezaji ambaye watakuwa hawana mpango naye watamuuza ila wakiwa na mpango naye hawatamuuza.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleRASMI SIMBA KUWEKA KAMBI YAKE MISRI, MAANDALIZI YA MSIMU MPYA 2025/2026
    Next Article FEISAL KUONDOLEWA KWENYE MIPANGO YA SIMBA?

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.