Ratiba ya mzunguko wa 6 NBC Premier League

ii hapa ratiba ya mzunguko wa 6 NBC Premier League:-Mashujaa FC vs Singida Black Stars, Septemba 9, 2026, Uwanja wa Lake Tanganyika.
Dodoma Jij FC vs Namungo FC, Septemba 11, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
Polisi Tanzania vs Mbeya City, Septemba 12, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Coastal Union vs JKT Tanzania, Septemba 12, Uwanja wa Mkwakwani
Pamba Jiji FC vs TRA United, Septemba 13, Uwanja wa CCM Kirumba
Kagera Sugar vs Fountain Gate, Septemba 13, Uwanja wa Kaitaba
Yanga SC vs Geita Gold, Septemba 15, Uwanja wa KMC Complex
Azam FC vs Simba SC, Septemba 16, Uwanja wa Azam Complex






