Ruka hadi maudhui
SOKALEO

MOURINHO ALIPUKA: “Ukizingua, hutakaa hata benchi, utabaki nyumbani”

Chikao
MOURINHO ALIPUKA: “Ukizingua, hutakaa hata benchi, utabaki nyumbani”

Kocha mkuu wa Real Madrid, José Mourinho, ameweka wazi msimamo wake mkali kuhusu nidhamu kikosini, akitishia kuwa mchezaji yeyote atakayeshindwa kutimiza wajibu wake basi hatapewa nafasi hata ya kukaa benchi, bali ataachwa nyumbani.

Mourinho alitoa onyo hilo kali jana tarehe 9 Oktoba 2026 wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa LaLiga dhidi ya Villarreal.

“Naahidi kwamba ikiwa mchezaji wa Real Madrid hatatenda kama mchezaji wa Real Madrid na akashindwa kutimiza wajibu wake kama mchezaji, hautamwona mchezaji huyo hata kwenye benchi. Hautapata hata nafasi ya kumzomea kwa sababu atakuwa ameachwa nyumbani. Sitampa nafasi ya kukaa benchi.” alisema Mourinho.

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Vigogo wa Ulaya Kukipiga Leo Kwenye UEFA

Dani Carvajal aondoka Madrid baada ya miaka 23

MICHAEL OWEN: Ni mapema mno kumfukuza Carrick Manchester United

Kunyoa kumenipa faragha mtaani, watu hawanitambui – Haaland

Mikel Arteta Kuongeza Mkataba wa Kusalia Arsenal.