AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa Fadlu yupo likizo ila anafanya kazi kwa moyo mkubwa akiwa Tanzania. “Katika vitu…
Browsing: Simba SC
MSIMBAZI kumeanza kumechangamka kupitia usajili baada ya dirisha la usajili kufunguliwa huku wakiwa hajatangaza mchezaji hata mmoja mpya ambaye ameshasaini kandarasi Simba SC. Mabosi wa Singida…
Klabu ya Simba inaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa klabu ya Mamelodi Sundowns Neo Maema ili kupata huduma yake kwa mkopo kuanzia msimu ujao.…
Klabu ya Simba inatajwa kumalizana na beki wa kati wa klabu ya Mamelodi Sundowns aliyekuwa anakipiga kwa mkopo Maccabi Petah Tikva ya ligi kuu ya Israel…
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amethibitisha tetesi zilizoshika kasi siku ya jana kuhusu mshambuliaji wa Singida Black Stars Jonathan Sowah kutua…
Katika kipindi hiki cha dirisha kubwa la usajili, habari kuhusu wachezaji wakuu na usajili wao huwa kivutio cha umma. Miongoni mwao ni Ellie Mpanzu, kiungo mahiri…
NDOTO ya mshambuliaji wa Simba SC na Taifa Stars, Kibu Dennis kucheza soka la kulipwa Marekani inakaribia kutimia baada ya klabu ya Nashville kumwongezea wiki ya…
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwatuliza mashabiki wa Simba huku akithibitisha kuwa ni kweli…
Shomari Kapombe anaripotiwa kuwa tayari amekubaliana na klabu ya Simba kuhusu kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi, licha ya mkataba wake wa awali…
KUELEKEA msimu mpya wa 2025/26, Simba SC wamebainisha kuwa watafanya usajili mkubwa kupata timu imara ya ushindani kitaifa na kimataifa. Ipo wazi kuwa Aishi Manula ambaye…