Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » FRIJI LA AHMED ALLY LIMEGOMA KUGANDISHA, JONATHAN SOWAH NI MNYAMA
    KITAIFA

    FRIJI LA AHMED ALLY LIMEGOMA KUGANDISHA, JONATHAN SOWAH NI MNYAMA

    ChikaoBy ChikaoJuly 25, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Jonathan Sowah
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amethibitisha tetesi zilizoshika kasi siku ya jana kuhusu mshambuliaji wa Singida Black Stars Jonathan Sowah kutua unyamani.

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ahmed Ally amechapisha picha ya DJ maarufu anayefanya kazi na klabu yake DJ Sinyorita huku akiambatanisha na ujumbe ufuatao;

    “DJ Sinyorita tuwekee wimbo wa sitaki mazoea tumtambulishe Sowah halafu hapo kwenye sitaki mazoea rudia rudia”Ameandika Ahmed Ally.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleKIUNGO HUYU WA MAMELODI KWENYE RADA ZA SIMBA
    Next Article SIMBA KUMSHUSHA BEKI WA MAMELODI SUNDOWNS RUSHINE DE REUCK

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.