Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » SIMBA SC YAPASWA KUJIVUNIA HUYU MWAMBA, ANACHAPA KAZI KWELI KWELI
    KITAIFA

    SIMBA SC YAPASWA KUJIVUNIA HUYU MWAMBA, ANACHAPA KAZI KWELI KWELI

    ChikaoBy ChikaoJuly 29, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    simba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa Fadlu yupo likizo ila anafanya kazi kwa moyo mkubwa akiwa Tanzania.

    “Katika vitu ambavyo tunapaswa kujivunia kwa hali na mali Wanasimba ni uwepo wa Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Yupo likizo lakini alitoka Afrika Kusini na kuelekea Dubai kuongea na Mo.

    “Kwa sasa Fadlu yupo Tanzania akifuatilia hatua kwa hatua wachezaji atakaowasajili na kufanya mipango ya msimu ujao. Anafanya kazi kwa moyo mkubwa mno katika kutimiza majukumu yake. Wanasimba tunapaswa kujivunia kuwa na kocha huyu,”.

    Simba SC msimu wa 2024/25 ilikuwa chini ya Fadlu ambaye dakika 180 mbele ya Yanga SC kwenye mechi za ligi zote alipotea mzunguko wa kwanza na ule wa pili.

    Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza baada ya dakika 90 ilikuwa Simba SC 0-1 Yanga SC na mzunguko wa pili, Yanga SC 2-0 Simba SC. NI mechi mbili alipoteza baada ya kucheza mechi 30 msimu uliopita wakigotea nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMANNE TAREHE 28-7-2025
    Next Article HUKO SIMBA MAMBO NI KIMYA KIMYA….HII HAPA MASHINE YA KAZI MRITHI WA TSHABALALA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.