Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » RASMI: SIMBA KUTAMBULISHA VIUNGO HAWA KUTOKA MAMELODI
    TETESI ZA SOKA

    RASMI: SIMBA KUTAMBULISHA VIUNGO HAWA KUTOKA MAMELODI

    ChikaoBy ChikaoJuly 26, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Simba inaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na kiungo mshambuliaji wa klabu ya Mamelodi Sundowns Neo Maema ili kupata huduma yake kwa mkopo kuanzia msimu ujao.

    Maema mwenye umri wa miaka 29 alijiunga na Masandawana mwaka 2021 akitokea Bloemfontein Celtic amecheza michezo 120 na kufunga magoli 13 na kutoa pasi 14 za magoli.

    LAKINI PIA: Klabu ya Simba inatajwa kumalizana na beki wa kati wa klabu ya Mamelodi Sundowns aliyekuwa anakipiga kwa mkopo Maccabi Petah Tikva ya ligi kuu ya Israel Rushine De Reuck mwenye umri wa miaka 29.

    TAZAMA FULL VIDEO IKIELEZEA

     

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleCV YA ROMAIN FOLZ KOCHA MPYA WA YANGA 2025/2026
    Next Article DILI LA FEISAL SALUM GUMU KWELIKWELI, NAMBA SITA KIVUMBI

    Related Posts

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    April 5, 2026

    KAGOMA ASEMA BADO ANA KAZI KUBWA SIMBA

    March 9, 2026

    RUSHINE MKATABA MWINGINE SIMBA, ULINZI WAIMARIKA

    March 9, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.