Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป SIMBA KUMSHUSHA BEKI WA MAMELODI SUNDOWNS RUSHINE DE REUCK
    KITAIFA

    SIMBA KUMSHUSHA BEKI WA MAMELODI SUNDOWNS RUSHINE DE REUCK

    ChikaoBy ChikaoJuly 25, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    simba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Simba inatajwa kumalizana na beki wa kati wa klabu ya Mamelodi Sundowns aliyekuwa anakipiga kwa mkopo Maccabi Petah Tikva ya ligi kuu ya Israel Rushine De Reuck mwenye umri wa miaka 29.

    Tetesi zinasema nyota huyo anajiunga na wekundu wa msimbazi Simba kwa mkopo wa mwaka mmoja baada ya mkopo wake ndani ya Maccabi kutamatika.

    Nyota huyo aliyecheza mechi 4 pekee katika ligi kuu ya Israel kutokana na machafuko yaliyokuwa yanaendelea Nchini humo taarifa zinasema kuwa na chaguo la kocha Fadlu kwa ajili ya kuimarisha safu yake ya ulinzi.

    Rushine ambaye ni raia wa Afrika Kusini ameshawahi kutwaa tuzo ya beki bora wa ligi kuu ya Afrika Kusini kabla ya kujiunga na klabu ya Mamelodi Sundowns.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleFRIJI LA AHMED ALLY LIMEGOMA KUGANDISHA, JONATHAN SOWAH NI MNYAMA
    Next Article MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMAMOSI TAREHE 26-7-2025

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.