Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » TETESI: KAPOMBE BADO YUPO SANA SIMBA, AMWAGA WINGO UPYA
    KITAIFA

    TETESI: KAPOMBE BADO YUPO SANA SIMBA, AMWAGA WINGO UPYA

    ChikaoBy ChikaoJuly 20, 202511 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Kapombe
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Shomari Kapombe anaripotiwa kuwa tayari amekubaliana na klabu ya Simba kuhusu kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi, licha ya mkataba wake wa awali kumalizika rasmi Juni 30, 2025.

    Vyanzo vya kuaminika kutoka ndani ya klabu vinadai kuwa hakuna presha yoyote baina ya pande hizo mbili, na kwamba mkataba mpya upo tayari na utatiwa saini muda wowote kuanzia sasa.

    Kapombe, ambaye kwa sasa yupo kwenye mipango ya moja kwa moja ya kocha mkuu Fadlu Davids, anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji ambao kocha huyo anawategemea mno katika kikosi chake. Inadaiwa kuwa Davids alisisitiza asiondoke, jambo lililochangia kwa kiasi kikubwa maamuzi ya Kapombe kubaki klabuni.

    Kitetesi kingine kinachozidi kushika kasi ni kwamba beki huyo mwenye umri wa miaka 33 ana nafasi kubwa ya kuteuliwa kuwa nahodha mpya wa klabu kuelekea msimu ujao, akichukua mikoba ya Mohamed Hussein ‘Tshabalala’.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleUSIKIE MKWARA WA YANGA KUHUSU DIRISHA HILI LA USAJILI?
    Next Article ZIMBWE JR NI NJANO NA KIJANI, SIMBA SC YAKATA TAMAA

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    View 1 Comment

    1 Comment

    1. Pingback: CV YA MOUSSA BALLA CONTE, MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC 2025/2026 - SOKALEO

    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.