Ruka hadi maudhui
SOKALEO

Yanga waanza kuiuza jezi ya Djigui Diarra

Chikao
Yanga waanza kuiuza jezi ya Djigui Diarra

Mabingwa watetezi wa kikosi cha Yanga wameanza kuziuza jezi za makipa wao ambao zinatumika kwenye Msimu huu wa 2026/2027.

Jezi hizo zinavaliwa na makipa Djigui Diarra raia wa Mali na Abuutwalib Mshery na Hussein Masalanga ambao ni Watanzania.

Sare hiyo inapatikana kwa kiasi cha Sh. 45,000 na jezi hizo zinapatikana katika maduka yote ya GSM Mall nchi nzima.

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →