Ruka hadi maudhui
SOKALEO

REKODI YA HARRY KANE HAIJAWAHI KUFIKIWA NA MCHEZAJI WA KIINGEREZA

Chikao
REKODI YA HARRY KANE HAIJAWAHI KUFIKIWA NA MCHEZAJI WA KIINGEREZA

Nahodha wa Uingereza na mshambuliaji wa FC Bayern Munich, Harry Kane, ndiye mchezaji pekee wa Kiingereza katika historia ya soka aliyefanikiwa kufunga mabao 30 na zaidi katika msimu mmoja wa ligi mara nne tofauti kwenye ligi tano bora za Ulaya (Uingereza, Uhispania, Ujerumani, Italia, na Ufaransa).

Rekodi hii ya kipekee inajumuisha misimu yake miwili akiwa na klabu ya Tottenham Hotspur na misimu miwili akiwa nchini Ujerumani na klabu ya Bayern Munich.

Msimu wa 2017/18 (Tottenham):
Alifunga mabao 30 ya ligi kwenye Premier League.

Msimu wa 2022/23 (Tottenham):
Alifunga mabao 30 ya ligi kwenye Premier League.

Msimu wa 2023/24 (Bayern Munich):
Msimu wake wa kwanza wa Bundesliga alifunga mabao 36 ya ligi.

Msimu wa 2025/26 (Bayern Munich):
Alimaliza msimu uliopita kwa kufunga mabao 36 kwenye Bundesliga.

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Vigogo wa Ulaya Kukipiga Leo Kwenye UEFA

Dani Carvajal aondoka Madrid baada ya miaka 23

MICHAEL OWEN: Ni mapema mno kumfukuza Carrick Manchester United

Kunyoa kumenipa faragha mtaani, watu hawanitambui – Haaland