Ruka hadi maudhui
SOKALEO

RATIBA YA KOMBE LA SHIRIKISHO 2026/2027, HATUA YA AWALI

Chikao
RATIBA YA KOMBE LA SHIRIKISHO 2026/2027, HATUA YA AWALI

Ratiba ya Kombe la Shirikisho Hatua ya Awali 2026/2027 imetangazwa rasmi baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kufanya droo ya raundi mbili za awali mjini Cairo, Misri. Mashindano ya msimu huu yanashirikisha jumla ya vilabu 56, huku timu nane zenye nafasi za juu kwenye viwango vya CAF zikipewa nafasi ya kuanzia moja kwa moja raundi ya pili ya mchujo.

Miongoni mwa timu zilizopewa nafasi hiyo ni Al Ahly (Misri), Azam FC (Tanzania), USM Alger (Algeria), CR Belouizdad (Algeria), Raja Casablanca (Morocco), AS FAR Rabat (Morocco), Maniema Union (DR Congo) na Kaizer Chiefs (Afrika Kusini).

Timu Zilizopewa Nafasi ya Kuanza Raundi ya Pili

Kutokana na viwango vya CAF, vilabu vifuatavyo havitacheza raundi ya kwanza ya mchujo:

  • Al Ahly (Misri)
  • Azam FC (Tanzania)
  • USM Alger (Algeria)
  • CR Belouizdad (Algeria)
  • Raja Casablanca (Morocco)
  • AS FAR Rabat (Morocco)
  • Maniema Union (DR Congo)
  • Kaizer Chiefs (Afrika Kusini)

Ratiba ya Raundi ya Kwanza ya Mchujo (First Preliminary Round)

Raundi ya kwanza itahusisha timu 48 zitakazocheza mechi 24 za nyumbani na ugenini.

Ratiba kamili ni kama ifuatavyo:

  • Mogadishu City (Somalia) vs Kitara (Uganda)
  • ZED (Misri) vs Ittihad Djibouti
  • Al Hilal Al Sahel (Sudan) vs Welwalo Adigrat (Ethiopia)
  • KMKM (Zanzibar) vs Al Ahly Tripoli (Libya)
  • Al Ahly Madani (Sudan) vs Tusker (Kenya)
  • Al Ghazala Wau (South Sudan) vs Singida Black Stars (Tanzania)
  • Panthers (Ethiopia) vs ASPAC (Benin)
  • ASBSI (Chad) vs Kokoroko (Ivory Coast)
  • Douanes (Burkina Faso) vs Hafia Conakry (Guinea)
  • El Kanemi Warriors (Nigeria) vs Oudjeb (Benin)
  • FC Amadou Diallo (Ivory Coast) vs East End Lions (Sierra Leone)
  • Shooting Stars (Nigeria) vs CS Sfaxien (Tunisia)
  • Mostakbal Gabes (Tunisia) vs Diambars (Senegal)
  • Vitesse (Burkina Faso) vs Real Bamako (Mali)
  • Diarra (Mali) vs Nations (Ghana)
  • AS Sam (Niger) vs ASKO Kara (Togo)
  • University of Namibia (UNAM) vs Kabuscorp de Palanca (Angola)
  • Red Arrows (Zambia) vs FC Rouge (Congo)
  • Durban City (Afrika Kusini) vs Rukinzo (Burundi)
  • Port Louis 2000 (Mauritius) vs Jwaneng Galaxy (Botswana)
  • Panthere Sportive (Central Africa) vs Rayon Sport (Rwanda)
  • Atomique du Niger vs Black Bulls (Mozambique)
  • DC Virunga (DR Congo) vs Bazar Brothers (Seychelles)
  • Green Mamba (Eswatini) vs Primeiro de Agosto (Angola)

Ratiba ya Raundi ya Pili ya Mchujo (Second Preliminary Round)

Washindi wa raundi ya kwanza watakutana na timu zilizopata nafasi ya kuanzia moja kwa moja.

Ratiba ya raundi ya pili ni:

  • Mshindi wa Mogadishu City vs Kitara atacheza dhidi ya Al Ahly (Misri)
  • Mshindi wa ZED vs Ittihad Djibouti atacheza dhidi ya Azam FC (Tanzania)
  • Mshindi wa Al Hilal Al Sahel vs Welwalo Adigrat atacheza dhidi ya mshindi wa KMKM vs Al Ahly Tripoli
  • Mshindi wa Al Ahly Madani vs Tusker atacheza dhidi ya mshindi wa Al Ghazala Wau vs Singida Black Stars
  • Mshindi wa Panthers vs ASPAC atacheza dhidi ya USM Alger (Algeria)
  • Mshindi wa ASBSI vs Kokoroko atacheza dhidi ya AS FAR Rabat (Morocco)
  • Mshindi wa Douanes vs Hafia Conakry atacheza dhidi ya CR Belouizdad (Algeria)
  • Mshindi wa El Kanemi Warriors vs Oudjeb atacheza dhidi ya Raja Casablanca (Morocco)
  • Mshindi wa FC Amadou Diallo vs East End Lions atacheza dhidi ya mshindi wa Shooting Stars vs CS Sfaxien
  • Mshindi wa Mostakbal Gabes vs Diambars atacheza dhidi ya mshindi wa Vitesse vs Real Bamako
  • Mshindi wa Diarra vs Nations atacheza dhidi ya mshindi wa AS Sam vs ASKO Kara
  • Mshindi wa University of Namibia vs Kabuscorp de Palanca atacheza dhidi ya Maniema Union (DR Congo)
  • Mshindi wa Red Arrows vs FC Rouge atacheza dhidi ya Kaizer Chiefs (Afrika Kusini)
  • Mshindi wa Durban City vs Rukinzo atacheza dhidi ya mshindi wa Port Louis 2000 vs Jwaneng Galaxy
  • Mshindi wa Panthere Sportive vs Rayon Sport atacheza dhidi ya mshindi wa Atomique du Niger vs Black Bulls
  • Mshindi wa DC Virunga vs Bazar Brothers atacheza dhidi ya mshindi wa Green Mamba vs Primeiro de Agosto
Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Vigogo wa Ulaya Kukipiga Leo Kwenye UEFA

Dani Carvajal aondoka Madrid baada ya miaka 23

MICHAEL OWEN: Ni mapema mno kumfukuza Carrick Manchester United

Kunyoa kumenipa faragha mtaani, watu hawanitambui – Haaland