Ruka hadi maudhui
SOKALEO

Allan Okello Asajiliwa Rasmi AS FAR Rabat

Chikao
Allan Okello Asajiliwa Rasmi AS FAR Rabat
Klabu ya AS FAR Rabat imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji wa Uganda, Allan Okello ‘Star Boy’, baada ya kumsajili kutoka Young Africans SC.Okello, mwenye umri wa miaka 26, amesaini mkataba wa miaka mitatu na klabu hiyo ya Morocco.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uhamisho wake umegharimu Dola milioni 1.2 za Marekani, ambazo ni takribani Shilingi bilioni 3.1 za Tanzania.Okello sasa anaanza ukurasa mpya wa maisha yake ya soka nchini Morocco baada ya kuondoka Yanga SC.
Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Vigogo wa Ulaya Kukipiga Leo Kwenye UEFA

Dani Carvajal aondoka Madrid baada ya miaka 23

MICHAEL OWEN: Ni mapema mno kumfukuza Carrick Manchester United

Kunyoa kumenipa faragha mtaani, watu hawanitambui – Haaland