Je safari hii nani anaweza kuongoza ligi, ambapo wakali wa ubashiri wameweka ODDS kubwa sana. Nani atapokea kijiti cha Liverpool ambao msimu uliopita ndio waliongoza ligi…
Browsing: KIMATAIFA
Mshambuliaji wa klabu ya Pyramids ya Misri Fiston Kalala Mayele jana ametwaa tuzo ya mshambuliaji bora wa Ligi kuu soka ya Misri. Mchezaji huyo wa kimataifa…
Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) limetangaza rasmi kuingia makubaliano ya udhamini wa miaka minne na mabingwa wa Hispania FC Barcelona wenye thamani ya…
Lamine Yamal pichani na Wazazi wake wote wawili ambao wametengana huku Mama yake akiwa ameolewa tayari, lakini kwasasa wanakutanishwa zaidi na Mtoto wao katika shughuli mbalimbali…
Aliyekuwa beki tegemeo wa Simba SC, Henock Inonga Baka, ameaga rasmi klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco baada ya kuitumikia kwa msimu mmoja pekee. Kupitia…
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria inatarajia kushuka dimbani usiku wa leo dhidi ya Timu ya Taifa ya Morocco kwenye mchezo wa fainali ya Kombe…
Gwiji wa mchezo wa mieleka Duniani raia wa Marekani Terry Gene Bollea maarufu Hulk Hogan amefariki dunia siku ya leo kiwa nyumbani kwake Florida Nchini Marekani…
Rashford Kuvaa Jezi Namba 14 Barcelona Marcus Rashford rasmi atangazwa kuwa mchezaji wa Barcelona baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo kutoka Manchester United. Nyota huyo wa…
Mchezaji wa Real Madrid, Jude Bellingham kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha akiwa kweye kitanda cha Hospitali ikiwa ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa jeraha…
Mabingwa wa Ligi Kuu Uganda, Vipers Sc wamethibitisha kumsajili winga, Mnigeria Odili Chukwuma kwa mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mwisho wa msimu wa 2026/27.…