Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » Gwiji wa mieleka Duniani Hulk Hogan afariki Dunia.
    KIMATAIFA

    Gwiji wa mieleka Duniani Hulk Hogan afariki Dunia.

    ChikaoBy ChikaoJuly 25, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Hulk Hogan
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Gwiji wa mchezo wa mieleka Duniani raia wa Marekani Terry Gene Bollea maarufu Hulk Hogan amefariki dunia siku ya leo kiwa nyumbani kwake Florida Nchini Marekani baada ya kupata mshuituko wa moyo.

    Shirika kubwa la Mieleka Duniani WWE limethibitisha taarifa ya kifo cha mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 71 na kumwelezea  kama sura ya zama za dhahabu katika mieleka aliyekuwa na mchango mkubwa na usiofutika katika tasnia hiyo.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleTaifa Stars kuvuna Bilioni 1 wakitwaa ubingwa wa CHAN.
    Next Article KIUNGO HUYU WA MAMELODI KWENYE RADA ZA SIMBA

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.