Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป KIVUMBI LEO FAINALI YA WAFCON NIGERIA VS MOROCCO
    KIMATAIFA

    KIVUMBI LEO FAINALI YA WAFCON NIGERIA VS MOROCCO

    ChikaoBy ChikaoJuly 27, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria inatarajia kushuka dimbani usiku wa leo dhidi ya Timu ya Taifa ya Morocco kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake WAFCON katika dimba la Olympic Stadium Rabat Nchini Morocco.

     

    Morocco ilifanikiwa kufika kufika hatua hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju 4-2 ya penati dhidi ya Ghana kufuatia sare ya b1-1 huku Nigeria ikitinga fainali baada ya kuwaondosha mabingwa watetezi wa taji hilo Afrika Kusini kwa kuifunga magoli 2-1.

    Mabingwa mara 9 wa michuano hiyo Nigeria inahitaji kulipa kisasi kwa Morocco na kutwaa taji hilo kufuatia kichapo walichowahi kukipata cha mikwaju ya penati mwaka 2022 na kuondoshwa na Morocco katikaa mchezo wa nusu fainali ya mashindano hayo.

     

    Je Morocco watafanikiwa kubeba ubingwa wa kwanza wa mashindano hayo au Nigeria watafanikiwa kuongeza kombe la 10 la WAFCON katika kabati lao la makombe.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNYOTA WA FOUNTAIN GATE ALAMBA MKATABA WA MIAKA 17
    Next Article MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMATATU TAREHE 28-7-2025

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.