Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » VIPERS SC YAMSAJILI WINGA MNIGERIA ODILI CHUKWUMA KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI
    KIMATAIFA

    VIPERS SC YAMSAJILI WINGA MNIGERIA ODILI CHUKWUMA KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI

    ChikaoBy ChikaoJuly 18, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mabingwa wa Ligi Kuu Uganda, Vipers Sc wamethibitisha kumsajili winga, Mnigeria Odili Chukwuma kwa mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mwisho wa msimu wa 2026/27.

    Chukwuma (23) raia wa Nigeria anajiunga na Mabingwa hao mara 7 wa Ligi Kuu Uganda kutoka klabu ya Police Fc ya Rwanda.

    Msimu uliopita Chukwuma alifunga magoli matano na kusaidia ‘assists’ mengine 8 akiisaidia Polisi Fc kumaliza nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu Rwanda wakiwa na pointi 48.

    Chukwuma ambaye pia amewahi kuichezea Bugesera Fc ya Rwanda anakuwa usajili wa nne wa Vipers Sc baada ya mshambuliaji Mark Yallah raia wa Liberia, kiungo Kevin Dasylva Bady kutoka DRC na kiungo Enock Ssebaggala raia wa Uganda.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSIMBA SC KUFANYA USAJILI MKUBWA KUELEKEA MSIMU MPYA
    Next Article MAVAMBO AMALIZA SAFARI YAKE SIMBA SC, ATOA UJUMBE WA KUAGA

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.