Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป MAYELE ATWAA TUZO YA MSHAMBULIAJI BORA MISRI
    KIMATAIFA

    MAYELE ATWAA TUZO YA MSHAMBULIAJI BORA MISRI

    ChikaoBy ChikaoAugust 3, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mshambuliaji wa klabu ya Pyramids ya Misri Fiston Kalala Mayele jana ametwaa tuzo ya mshambuliaji bora wa Ligi kuu soka ya Misri.

    Mchezaji huyo wa kimataifa wa Congo DR ametwaa tuzo hiyo baada ya kucheza michezo 23 na kufunga magoli 8 huku akipika magoli mawili.

    Kwenye msimu huo pia Mayele alifunga magoli 6 kwenye mechi 10 za Ligi ya Mabingwa Afrika yaliyosaidia Pyramids kuwa Mabingwa Afrika.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleWAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA UFUNGUZI MICHUANO YA CHAN 2024
    Next Article USHINDI WA MECHI YA CHAN, STARS YAVUNA MILIONI 60

    Related Posts

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    April 17, 2026

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    April 16, 2026

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.