LATEST POSTS

Yanga

CLEMENT MZIZE BADO ANA MKATABA NA YANGA

0
MSHAMBULIAJI namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi msimu wa 2024/25 Clement Mzize bado ana mkataba na Yanga SC kuelekea msimu wa 2025/26. Mzize amekuwa...

MOROCCO KUKUTANA NA MOROCCO, KIVUMBI CHAN 2024

0
TIMU ya Taifa ya Tanzania inayofundishwa na Kocha Mkuu, Hemed Suleman maarufu kwa jina la Morocco itacheza na timu ya taifa ya Morocco kwenye...

FOUNTAIN GATE YAANDAA MICHUANO YA KIMATAIFA YA PRE SEASON

0
Klabu ya Fountain Gate imetangaza kuandaa michuano maalumu ya PRE-SEASON INTERNATIONAL TOURNAMENT, michuano yenye lengo la kuzipa maandalizi mazuri timu za ligi Kuu Tanzania. Timu...

TIMU HII KUCHEZA NA TANZANIA ROBO FAINALI YA CHAN

0
Burudani za CHAN 2024 zinaendelea hii leo kwa michezo miwili muhimu kupigwa kwenye Kundi A, mechi zote mbili zitapigwa mapema majira ya saa 9...

Leo ni leo EPL, Arsenal kuwavaa Man United

0
Ligi Kuu Uingereza iliyoanza jana itaendelea leo Agosti 17, 2025 kwa mechi tatu za kupigwa huku mechi kali ikiwa ile kati ya Manchester United...

SELEMANI MWALIMU AMEIGHARIMU SIMBA MILIONI 260

0
Simba SC imelipa kiasi Cha USD 100,000 sawa na zaidi ya Tsh million 260 Kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji Seleman Mwalimu Kwa mkopo akitokea...

LEO NI VITA YA SAMATTA NA POGBA KATIKA LIGI YA UFARANSA

0
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta anatarajia kucheza mechi yake ya kwanza kwenye Ligi Kuu Ufaransa wakati klabu yake ya...

NEO GIFT MAEMA AMEICHAGUA SIMBA

0
"Tulipokea ofa nyingi sana za hapa Afrika kusini kutoka kwa vilabu kama Kaizer Chiefs,Orlando Pirates na vingine vingi lakini vya nje ya Afrika kusini...
Mwakinyo

MWAKINYO – “NIKO TAYARI KUCHEZA, LAKINI NINACHOTAKA KULIPWA NILIPWE”

0
Anayetaka kuliona pambano langu dhidi ya bondia wa ndani anifuate mimi tuzungumze na asipite kwa mtu mwingine yeyote. Niko tayari kucheza lakini lazima ninachotaka...
Wallace Karia

WALLACE KARIA MINNE TENA KULIONGOZA SOKA LA TANZANIA

0
Wajumbe wa mkutano mkuu TFF wamemthibitisha Wallace Karia kwa kumpigia kura za ndio kwa asilimia 100 kuwa Rais wa soka Nchini kwa miaka mingine...
Taifa Stars

TAIFA STARS KAZINI TENA KWA MKAPA CHAN 2024

0
VINARA wa kundi B Tanzania kesho watakuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Afrika ya Kati mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Stars...
azam fc

AZAM FC YAMALIZA KAMBI KARATU KWA KUTEMBELEA NGORONGORO

0
Leo Alhamisi, kikosi cha Azam FC kikiwa Karatu, mkoani Arusha, kimehitimisha kambi yake ya wiki mbili ya maandalizi ya msimu mpya kwa mtindo wa...
sancho

WINGA SANCHO KUTIMKIA AS ROMA YA ITALIA

0
Winga wa Manchester United, Jadon Sancho, yuko kwenye hatua za mwisho za kujiunga na AS Roma kwa mkopo wa mwaka mmoja.Kwa mujibu wa taarifa,...
Tpbrc

NYEMBERE ATEULIWA KUONGOZA KAMATI YA MUDA “TPBRC”

0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemteua mtangazaji wa #AzamTV, Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini...
baleba

BRIGHTON YAENDELEA KUSHIKILIA BOMBA BALEBA KWENDA MAN UTD

0
Brighton inahitaji Pauni 100 milioni ili kumuuza kiungo wao wa kati Carlos Baleba, 21, baada ya Manchester United kuonyesha nia ya kumsajili. Baleba, aliyesajiliwa kutoka...

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO IJUMAA 15-08-2025

0
Manchester United wanapanga mpango wa pauni milioni 50 kumnunua kiungo wa kati wa Sporting na Denmark Morten Hjulmand, 26, iwapo watamkosa mchezaji wa kimataifa...
Chelsea

WACHEZAJI WA CHELSEA WATOA BONASI ZAO KWA FAMILIA YA DIOGO JOTA

0
Wachezaji wa klabu ya Chelsea wameamua kutoa sehemu ya bonasi zao za ushindi wa Kombe la Dunia ngazi ya Klabu kwa familia za wachezaji...
Neo Maema

CHUMA CHA SIMBA, NEO MAEMA KIMEAGWA RASMI MAMELODI

0
Timu ya Mamelodi Sundowns imemuaga rasmi mchezaji wao, Neo Maema aliyetumikia klabu hiyo kwa muda wa miaka 4. Kwa sasa, Maema yupo kambini na timu...
Pogba

POGBA KUREJEA UWANJANI, AANZA MATIZI NA AS MONACO

0
Mchezaji maarufu wa kimataifa, Paul Pogba, amefanya mazoezi yake ya kwanza rasmi na wenzake wa klabu ya AS Monaco, kufuatia kujiunga kwake na klabu...

LATEST POSTS

ZILIZOSOMWA ZAIDI WIKI HIII