West Ham United wamewalazimisha Manchester City kwa sare ya 1–1 katika mchezo wa Premier League uliokuwa na ushindani mkubwa. City walitangulia kufunga kupitia Bernardo Silva dakika…
Browsing: KIMATAIFA
Kocha mkuu wa Chelsea FC, Liam Rosenior, amesema klabu hiyo “imepata mchezaji bora zaidi duniani katika nafasi yake” baada ya beki wa kulia Reece James kusaini…
Ulimwengu wa soka umeshtushwa na ripoti zinazodai kuwa nyota wa kimataifa wa Canada, Alphonso Davies, anafikiria kuachana na soka la ushindan. Beki huyo mwenye umri wa…
Mgombea urais wa Barcelona, Joan Laporta, amefunguka kuhusu kauli zilizotolewa na Xavi Hernández katika mahojiano yake na La Vanguardia akisema Xavi anaumizwa na mafanikio ya Hans…
Mayele Aendelea Kupambana na Ukame wa Mabao Pyramids FC Hali bado ni tete huko Misri ambako mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Fiston Mayele, anaendelea kukabiliwa…
Barcelona Yatakiwa Kulipa Pauni 26M Kumng’oa Rashford Manchester United Manchester United imeweka wazi kuwa haitashusha ada ya Pauni 26 milioni iliyokubaliwa kwa ajili ya uhamisho wa…
Kaimu Kocha Mkuu wa Manchester United, Michael Carrick, ameteuliwa kuwa Kocha Bora wa Mwezi Januari 2026 katika Ligi Kuu ya Soka England. Uchaguzi huu unatambua mafanikio…
Timu Zilizofuzu Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 CAF Msimu wa 2025/2026 wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika umeendelea kushuhudia ushindani mkali katika hatua ya makundi,…
GWIJI wa Ligi Kuu England, Wayne Rooney, ameonya kuwa Mikel Arteta anaweza kufukuzwa kazi endapo atashindwa kuipa Arsenal taji la Ligi Kuu msimu huu 😳🏆 Arsenal…
Man City Yapindua Meza Kibabe Ikiicharaza Liverpool Nyumbani Manchester City imeandika ushindi muhimu wa mabao 2-1 dhidi ya Liverpool katika dimba la Anfield, matokeo yaliyokuja baada…