Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » RASMI: SIMBA SC IMEFIKIA MAKUBALIANO NA FEISAL
    KITAIFA

    RASMI: SIMBA SC IMEFIKIA MAKUBALIANO NA FEISAL

    ChikaoBy ChikaoJuly 27, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Feisal Amekubali Kusaini mkataba wa awali wa miaka miwili na Simba SC lakini amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake na Azam FC.

    Makubaliano ni kati ya Feisal na Simba mengine ni makubaliano ya klabu kwa klabu. Endapo Azam itakataa, Feisal atalazimika kujiunga na Simba SC mwakani mkataba wake utakapomalizika.

    Kilichobaki ni Simba kufanya mazungumzo na Azam lli kuvunja Mkataba wa Feisal, lakini kumbuka, Azam wanaweza kukataa kumuuza mchezaji huyo, tusubiri tuone mwisho.

     

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMAPILI TAREHE 27-7-2025
    Next Article USAJILI WA KWANZA SIMBA HUU HAPA, MSHAMBULIAJI WA MABAO KUTAMBULISHWA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.