Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป HII HAPA SABABU ILIYOMFANYA CHIKOLA KUTUA YANGA
    KITAIFA

    HII HAPA SABABU ILIYOMFANYA CHIKOLA KUTUA YANGA

    ChikaoBy ChikaoJuly 26, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Winga Offen Chikola, amesema kwake itakuwa rahisi kujitangaza na kupata soko la kucheza la kulipwa nje ya Tanzania baada ya kujiunga na Yanga.

    Chikola anasema hata alipopigiwa simu kwa mara ya kwanza na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, kwake ilikuwa kama ndoto, kwani kwa uwezo wake alikuwa anatamani acheze kwenye klabu ambayo inaonekana zaidi kwenye michezo ya kimataifa kwa ajili ya kujitangaza zaidi.

    “Hersi, aliongea kama utani hivi, unataka kuendelea kucheza kwenye klabu zako hizo za huko?, lakini ukweli hata mimi mwenyewe nilitamani kucheza klabu kubwa kwa sababu timu nyingine ningechelewa sana kuonekana,” anasema Chikola.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleYANGA WAMEAMUA KUSHUSHA VIJANA TU, MOTO UTAWAKA
    Next Article MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMAPILI TAREHE 27-7-2025

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.