Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » YANGA WAMEAMUA KUSHUSHA VIJANA TU, MOTO UTAWAKA
    KITAIFA

    YANGA WAMEAMUA KUSHUSHA VIJANA TU, MOTO UTAWAKA

    ChikaoBy ChikaoJuly 26, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Yanga Africa sio tu wanaongeza Technicall Quality wanaendelea Kupunguza pia Umri wa Midfield Yao Kuelekea Msimu Mpya..✍️

    Out Khalid Aucho (32) In Moussa Balla Conte (21) ✅

    Out Chama Clatous (34) In Allasine Kouma (21) ✅

    Wanaendelea Kumuongezea Roman Folz (35) Vijana wenye Uchu Mkubwa wa Kufanikiwa Lakini ni rahisi Kuwa Manage.

    Wameongeza pia height ya hii Midfield,moja ya Silaha nzuri sana wakati unasaka Mafanikio CAF.Wote wapo Kwenye Futi 6..

    Jamani hawa watu hawataki tena vibabu, msimu ujao ni Mwendo tu na Vitoto vya 2000.

    Amendika Wilson Oruma (Mzee wa Jambia)

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNAMBA 8 MPYA WA YANGA SC LASSINE ANATAKA KUTEMBEZA 5G
    Next Article HII HAPA SABABU ILIYOMFANYA CHIKOLA KUTUA YANGA

    Related Posts

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    April 12, 2026

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.