Arsenal wamerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England (EPL) kufuatia ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Everton katika dimba la Hill Dickinson, jijini Liverpool. Bao pekee la mchezo lilifungwa dakika ya 27 na Viktor Gyökeres kwa mkwaju wa penalti, bao lililotosha kuwapa The Gunners alama
Kocha wa Arsenal Mikel Arteta anasema mazungumzo ya kandarasi za Bukayo Saka na William Saliba yanakwenda vizuri. Wachezaji hao wawili muhimu wa Arsenal mikataba yao inategemewa kutamatika 2027, na sasa Washika Bunduki hao wa jiji la London wapo kwenye majadiliano mazito na wachezaji hao ili waweze