LATEST POSTS
PITIA MAGAZETI YA MICHEZO LEO TAREHE 21 AGOSTI 2025
PITIA MAGAZETI YA MICHEZO LEO TAREHE 21 AGOSTI 2025
CAMAVINGA KUWA MBADALA WA BALEBA MAN UNITED
Klabu ya Manchester United imeripotiwa kumtazama kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga kuwa mbadala kama watamkosa Carlos Baleba wa Brighton wanayemtazama zaidi kama chaguo...
MASHABIKI WA KENYA WAPANIA KUWAZUIA, WATANZANIA KUITAZAMA STARS DHIDI YA MOROCCO
Ripoti kutoka nchini Kenya zinadai kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini humo wameanza zoezi la ununuzi wa tiketi za mchezo wa Tanzania dhidi...
ISAK AVUNJA UKIMNYA, ADAI KUNA USALITI UMEFANYIKA
Alexander Isak amevunja ukimya wake kuhusu mgomo wake wa Newcastle United kwa kauli mbaya ambapo anasema imani imepotea baada ya ahadi kuvunjwa.
Jana alitoa taarifa...
FEISAL SALUM AFICHUA HESABU ZA TANZANIA CHAN 2024
WAKATI Tanzania Agosti 16 2025 kwenye mchezo wa CHAN 2024 ikishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Afrika ya Kati 0-0 Tanzania, kiungo Feisal...
SIMBA SC KUZINDUA UZI MPYA AGOSTI 27 2025
UONGOZI wa Simba SC umetaja siku rasmi itakayokuwa ni maalumu kwa uzinduzi wa uzi mpya wa timu hiyo kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa...
HII HAPA TAREHE YA MECHI YA SIMBA NA YANGA MWAKA HUU...
MECHI ya Simba na Yanga inatarajiwa kuchezwa mapema ikiwa ni ufunguzi wa msimu mpya wa 2025/26 kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii (Community Shield)...
SIMBA KUFUNGWA KWENYE PRE SEASON NI FAIDA KUBWA KWA KOCHA FADLU
Simba kupoteza mchezo wa kirafiki ni faida kubwa sana kwao kwa sababu itamsaidia kocha Fadlu Davids kujua changamoto zilizosalia kwenye timu yake na kuzifanyia...
MASHABIKI WA SIMBA SASA KUSAJILIWA KAMA WANACHAMA WAPYA
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu, amesema maandalizi yote ya usajili wa wanachama yamekamilika na kwamba ndani ya miezi sita kuanzia sasa...
MASTAA YANGA SC WAKIMBIZWA KUSAKA PUMZI NA UIMARA
MASTAA wa kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu,Romain Folz Agosti 19 2025 walikuwa kwenye mazoezi maalumu katika fukwe za Coco Beach Dar...
NASIMAMA NA SIMBA NA AZAM WALIOCHAGUA KUKAA KIMNYA
"Nimeona andiko la kaka yangu Jemedari Said kuzihusu Simba SC na Azam FC kutokutoa matokeo yao ya mechi zao za kirafiki walizocheza.
Azam FC walifungwa...
RAIS WA FIFA AMPONGEZA KARIA KWA KUREJEA TENA MADARAKANI
Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ametuma salama za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...
RAIS WA CAF AMPONGEZA RAIS WA TFF KWA KUREJEA TENA MADARAKANI
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk. Patrice Motsepe ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...
HAJI MANARA AWAVAA WAKENYA KISA KEJERI ZAO KWA STARS
Mdau maarufu wa mchezo wa mpira wa miguu Nchini Haji Manara amewajibu waandishi wa habari wa Kenya waliosema Taifa Stars wameumaliza mwendo kwenye mashindano...
AHMED ALLY: TULIOWATANGAZA HAWAJATOSHA, BADO VYUMA VINAKUJA
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba , Ahmed Ally, amesema wachezaji ambao itawatangaza si kama inamalizia zoezi la usajili, la hasha, bali...
NEYMAR AMWAGA MACHOZI AKIKUTANA NA KIPIGO KIKUBWA ZAIDI KWAKE
Nyota wa Brazil na klabu ya Santos Neymar Jr usiku wa kuamkia leo alitoka uwanjani akimwaga machozi baada ya kukumbana na kipigo kikubwa zaidi...
MAEMA AWAWAKIA WAANDISHI KISA PENATI ZA UGANDA
Baada ya mchezo na Uganda, nahodha wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Neo Maema hakuwa na maneno mengi ya kuongea mbele ya waandishi...
AZAM FC KUANZA KAZI LEO RWANDA MECHI DHIDI YA APR FC
AZAM FC wakiwa nchini Rwanda ambapo wameweka kambi wanatarajiwa kushiriki michuano ya Inkera Y’abahizi baada ya kualikwa na wenyeji wao APR FC na leo...