Ruka hadi maudhui
SOKALEO

Mo kuificha Simba Afrika Kusini kuiwinda Yanga.

Chikao
Mo kuificha Simba Afrika Kusini kuiwinda Yanga.

Kikosi cha Simba kitapiga kambi ya siku 10 nchini Afrika Kusini kujiandaa na michuano ya Ligi Kuu Bara, Klabu Bingwa Afrika pamoja na mashimdano mengine ambayo kikosi hicho kitashiriki.

Rais wa Simba Mohammed Dewji ‘MO’ amelipia gharama zote za kikosi hicho ambacho Oktoba 10 kutacheza dhidi ya mtani wake Yanga ukiwa mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Simba inatarajiwa kuondoka nchini siku ya Alhamisi kwenda nchini humo kwa ajili ya kambi hiyo maalum.

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Kocha wa Simba Steve Barker Awasha Moto Mpya

YAMAL: Afikisha mchango wa mabao 20 ndani ya mechi 13