Ruka hadi maudhui
SOKALEO

Libase Gueye Hakamatiki Kwa Upishi wa Magoli Ligi Kuu

Chikao
Libase Gueye Hakamatiki Kwa Upishi wa Magoli Ligi Kuu

Top Assists

Soka Metrics inaonyesha utawala wa viungo na washambuliaji wenye uwezo mkubwa wa kupika mabao:

1. Libasse Gueye (Simba SC) – Asisti 5 Takwimu: Amecheza dakika 470′, akiongoza kwa kishindo kwa kutengeneza nafasi 33 za hatari na kupiga pasi 10 za mwisho (key passes).

2. Houssein Zakouani (Young Africans SC) – Asisti 3 Takwimu: Alicheza dakika 209′ pekee, akitengeneza nafasi 11 na kupiga pasi 4 za mwisho.

3. Jeance Mboma (Singida Black Stars) – Asisti 3 Takwimu: Alicheza dakika 445′, akitengeneza nafasi 12 na kupiga pasi 3 za mwisho.

4. Henry David (Singida Black Stars) – Asisti 2 Takwimu: Alicheza dakika 137′, akitengeneza nafasi 4 na kupiga pasi 3 za mwisho.

5. Yusuph Adam (Singida Black Stars) – Asisti 2 Takwimu: Alicheza dakika 183′, akitengeneza nafasi 4 na kupiga pasi 2 za mwisho.

Libasse Gueye anaongoza kwa kishindo kikubwa sana akiwa na asisti 5 na kutengeneza nafasi 33!

Unampa nani nafasi ya kuendelea kuongoza kwenye chati ya kutoa pasi za mabao msimu huu? Dondosha maoni yako!

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Kocha wa Simba Steve Barker Awasha Moto Mpya

YAMAL: Afikisha mchango wa mabao 20 ndani ya mechi 13