Ruka hadi maudhui
SOKALEO

YANGA YAUKIMBIA UWANJA WA UHURU

Chikao
YANGA YAUKIMBIA UWANJA WA UHURU
Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imefanya maamuzi ya kuutumia uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam, kama uwanja wao rasmi wa nyumbani kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League) kwa msimu huu wa 2026/2027.
​Hatua hii inaashiria rasmi kuwa Wananchi wamehama katika Uwanja wa Uhuru (Shamba la Bibi) ambao wamekuwa wakiutumia kama uwanja wa nyumbani. Maamuzi haya yanatarajiwa kuleta taswira mpya na mazingira tofauti kwa mabingwa hao watetezi katika mechi zao za nyumbani.
​Unauonaje uamuzi huu wa Yanga SC kuchagua KMC Complex kuwa uwanja wao wa nyumbani msimu huu wa 2026-27? Dondosha maoni yako!
Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Kocha wa Simba Steve Barker Awasha Moto Mpya

YAMAL: Afikisha mchango wa mabao 20 ndani ya mechi 13