Ruka hadi maudhui
SOKALEO

Ratiba ya NBC Premier League 2026/27

Chikao
Ratiba ya NBC Premier League 2026/27

LEO Agosti 25,2026 kuna mechi kali 2 za NBC Premier League ambazo zinatarajiwa kuchezwa kwa wababe kusaka pointi 3 muhimu ndani ya uwanja.

Namungo FC iliyo nafasi ya 9 na pointi 3 baada ya mechi 2 itavaana na Fountain Gate iliyo nafasi ya10 na pointi 3 baada ya mechi 2 itakuwa saa, 12:00 jioni.

Msimu wa 2026/27 umekuwa na ushindani mkubwa kwa kila timu zikisaka pointi 3 uwanjani na vinara wa ligi ni Yanga SC wenye pointi 9 baada ya mechi 3 wakipata ushindi.

Dodoma Jiji FC iliyo nafasi ya 13 na pointi 1 itavaana na Polisi Tanzania iliyo nafasi ya 7 na pointi 4 zote zimecheza mechi 2 itapigwa saa 2:30 usiku.

Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Kocha wa Simba Steve Barker Awasha Moto Mpya

YAMAL: Afikisha mchango wa mabao 20 ndani ya mechi 13