Ruka hadi maudhui
SOKALEO

Kocha Yanga Asema Hatma ya Mzize Kurejea Kikosini

Chikao
Kocha Yanga Asema Hatma ya Mzize Kurejea Kikosini
Kocha wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amesema mshambuliaji Clement Mzize anaendelea na maandalizi ya kurejea uwanjani baada ya kupona majeraha. Mngqithi amesema Mzize ameshaanza kujiweka fiti na anatarajiwa kurejea katika kipindi cha chini ya mwezi mmoja, endapo maendeleo yake yataendelea vizuri.
Kocha huyo amesema: “Clement Mzize anaendelea kujiweka fiti baada ya kupona majeraha yake makubwa. Anakaribia kurudi, kuna uwezekano mkubwa akarudi kwa muda wa chini ya mwezi mmoja.”
Shiriki:

Habari Zinazohusiana

Zaidi →

Kocha wa Simba Steve Barker Awasha Moto Mpya

YAMAL: Afikisha mchango wa mabao 20 ndani ya mechi 13