RATIBA YA NBC PREMIER LEAGUE MECHI ZA LEO MAY 8

NBC Premier League inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili msimu wa 2025/26 mabingwa watetezi ni Yanga SC wanaoongoza ligi na pointi 51.
Mei 8, 2026 Ijumaa zinatarajiwa kuchezwa mechi mbili kali kwa wababe kusaka pointi tatu muhimu uwanjani.
TRA United vs Azam FC, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, saa 10:00 jioni
Namungo FC vs Mashujaa FC, Uwanja wa Majaliwa, saa 12: 30 jioni






