Ikiwa imetajwa kuwa huenda ilikuwa mechi yake ya mwisho ya ushindani akichezea nyumbani, Lionel Messi alifunga mabao mawili na kuiongoza Argentina kupata ushindi wa 3-0 dhidi…
Browsing: KIMATAIFA
Nchini Brazil kumeibuka simulizi ya kushtua baada ya bilionea mwenye umri wa miaka 31 kutoka jimbo la Rio Grande do Sul kuamua kumwachia nyota wa soka…
Klabu ya AS Monaco imemjumuisha mchezaji Paul Pogba katika kikosi kitakachoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu wa 2025/26. Pogba ambaye alijunga na Monaco…
Nyota wa zamani wa Chelsea na Real Madrid, Eden Hazard ametupilia mbali mastaa Cristiano Ronaldo, Lamine na Neymar huku akimtaja Lionel Messi kuwa ndiye mpiga chenga…
Beki wa zamani wa Real Madrid Sergio Ramos ameachia wimbo unaoitwa “Cibeles” akiimba mambo ya kihisia mengi kama sintofahamu ya yeye kuondoka Madrid. Ramos hakutaka kuondoka…
Marc Guehi ni rasmi atasalia Crystal Palace licha ya kufanyika kwa makubaliano ya kujiunga na klabu Liverpool mapema siku ya leo kabla ya Crystal Palace kubadilisha…
Klabu ya Manchester United imekamilisha makubaliano ya kumsajili golikipa Senne Lammens raia wa Ubeljiji akitokea Royal Antwerp FC, huku akitarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano. Lammens…
Klabu ya Liverpool imekmilisha mazungumzo na klabu ya Newcastle United ili kuinasa saini ya mshambuliaji Alexander Isak ukitarajia kuwa usajili utakaoweka historia kwenye Ligi kuu ya…
AC Milan wamemsajili Christopher Nkunku kutoka Chelsea kwa mkataba ambao unaweza kufikia pauni milioni 36. Nkunku mwenye umri wa miaka 27 ametia saini mkataba wa miaka…
Klabu ya Chelsea imethibitisha kukamilisha usajili wa winga chipukizi wa Kimataifa wa Argentina, Alejandro Garnacho, akitokea Manchester United kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 46.…