Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป ALEXANDER ISAK NI SUALA LA MUDA KUTAMBULISHWA LIVERPOOL
    KIMATAIFA

    ALEXANDER ISAK NI SUALA LA MUDA KUTAMBULISHWA LIVERPOOL

    ChikaoBy ChikaoSeptember 1, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Alexander Isak
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya Liverpool imekmilisha mazungumzo na klabu ya Newcastle United ili kuinasa saini ya mshambuliaji Alexander Isak ukitarajia kuwa usajili utakaoweka historia kwenye Ligi kuu ya Uingereza.

    Isak mwenye umri wa miaka 25 siku ya leo atakamilisha taratibu za kuhamia Anfield ikiwa ni pamoja na kufanyiwa vipimo vya afya tayari kwa utambulisho ndani ya kikosi cha Arne Slot.

    Taarifa zinasema nyota huyo raia wa Sweden amesaini mkataba wa miaka 6 kuitumikia Liverpool hadi mwaka 2031.

    Liverpool FC Newcastle United
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleJKT QUEENS WAKABIDHIWA BENDERA KUIWAKILISHA NCHI KIMATAIFA
    Next Article MANCHESTER UNITED YANASA SAINI YA MBADALA WA ONANA

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.