Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » RAMOS ALIUMIA SANA KUONDONA MADRID
    KIMATAIFA

    RAMOS ALIUMIA SANA KUONDONA MADRID

    ChikaoBy ChikaoSeptember 3, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Beki wa zamani wa Real Madrid Sergio Ramos ameachia wimbo unaoitwa “Cibeles” akiimba mambo ya kihisia mengi kama sintofahamu ya yeye kuondoka Madrid.

    Ramos hakutaka kuondoka kamwe. Ndoto yake ilikuwa kustaafu katika jezi nyeupe Madrid. Lakini hadithi haikuisha jinsi inavyopaswa kuwa, hakuna kwaheri ya Bernabéu zaidi ya mkutano na waandishi wa habari tu.

    Kupitia wimbo huu, hatimaye anafunguka:

    “Sijawahi kutaka kuondoka, uliniuliza nipande ndege.”
    “Ningerudi kwa furaha, mara moja na hadi mara elfu.”

    “Kuanzia mtoto mwenye nywele ndefu hadi kuwa nahodha ambaye alinyanyua kila taji, gwiji ambaye alistahili kuagwa vizuri.

    Ameimba kwa hisia Ramos.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSIMBA YATAMBULISHA CHUMA KIPYA CHA MOTO
    Next Article FOLZ ANAJIPANGA KUENDELEZA REKODI YA KUISULUBU SIMBA – KAMWE

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.