Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป Kiwiko dhidi ya Anthony Mligo champonza Mayanga afungiwa mechi 5.
    KITAIFA

    Kiwiko dhidi ya Anthony Mligo champonza Mayanga afungiwa mechi 5.

    ChikaoBy ChikaoDecember 8, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    mayanga
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mchezaji wa Mbeya City, Vitalis Mayanga amefungiwa kucheza mechi tano sambamba na kutozwa faini ya Tsh Milioni 1 kwa kosa la kumpiga kiwiko beki wa kushoto wa Simba, Anthony Mligo kwenye mchezo wa ligi kuu uliopigwa katika dimba la Meja Isymuhyo disemba 4 mwaka huu.

    Uamuzi huo umetolewa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) katika taarifa ya TPLB siku ya leo kwa mujibu wa kanuni ya 41;21 ya ligi kuu kuhusu udhibiti wa wachezaji.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMechi dhidi ya Man City kuamua hatma ya Alonso Real Madrid.
    Next Article Pacome atemwa kwenye kikosi cha AFCON 2025

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.