Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » Mshindi lazima apatikane leo Yanga SC vs Simba SC, Muungano CUP
    Habari za Michezo

    Mshindi lazima apatikane leo Yanga SC vs Simba SC, Muungano CUP

    ChikaoBy ChikaoApril 29, 202601 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mshindi lazima apatikane leo Yanga SC vs Simba SC, Muungano CUP leo Aprili 29, 2026 Uwanja wa New Amaan Complex.

    Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa saa 2:15 kwa wababe hawa kusaka mshindi wa taji hilo ambalo lipo mikononi mwa Yanga SC.

    Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves anatarajia kupambana na Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Steve Berkar.

    Pedro ameweka wazi kwamba wanahitaji ushindi kwenye mchezo wa leo kwa kuwa wamefanya maandalizi mazuri kuelekea mchezo wa leo.

    “Tupo tayari kwa mchezo na maandalizi yamekamilika kikubwa ni kuona tunapata matokeo mazuri kwa kuwa tulikuwa na malengo mwanzo wa msimu na tunaendelea kupambana,”.

    Seleman Matola, kocha msaidizi wa Simba SC, amesema wanatambua ni mchezo wa fainali utakuwa na ugumu hivyo watapambana kupata matokeo.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleIBENGE AKIRI KUTORIDHISHWA NA KIWANGO CHA WACHEZAJI WAKE
    Next Article Wafungaji Bora Mapinduzi Cup 2026

    Related Posts

    IBENGE AKIRI KUTORIDHISHWA NA KIWANGO CHA WACHEZAJI WAKE

    April 26, 2026

    matokeo ya Azam FC vs Yanga SC Leo 25/04/2026

    April 26, 2026

    YANGA, AZAM FC USO KWA USO KUSAKA FAINALI YA MUUNGANO

    April 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    Wafungaji Bora Mapinduzi Cup 2026

    Mshindi lazima apatikane leo Yanga SC vs Simba SC, Muungano CUP

    IBENGE AKIRI KUTORIDHISHWA NA KIWANGO CHA WACHEZAJI WAKE

    matokeo ya Azam FC vs Yanga SC Leo 25/04/2026

    YANGA, AZAM FC USO KWA USO KUSAKA FAINALI YA MUUNGANO

    SIMBA YASHIKA NAFASI YA 19 DUNIANI, IPO LEVO ZA MADRID

    HILI HAPA DAU LA KUMPATA COLE PALMER

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.