
Kimataifa
Majeraha Yamrejesha Kylian Mbappe Real Madrid
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Mshambuliaji wa Real Madrid Kylian Mbappé ameondoka kwenye kambi ya Timu ya Taifa na kurejea kwenye klabu yake kwa ajili ya kufanyiwa vipimo zaidi ya jeraha lake. Mbappe licha ya kucheza mchezo wa jana dhidi ya Ukraine na kuandika historia ya kuwa mchezaji mwe
