Mabingwa wa Ligi Kuu Uganda, Vipers Sc wamethibitisha kumsajili winga, Mnigeria Odili Chukwuma kwa mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mwisho wa msimu wa 2026/27.…
Author: Chikao
KUELEKEA msimu mpya wa 2025/26, Simba SC wamebainisha kuwa watafanya usajili mkubwa kupata timu imara ya ushindani kitaifa na kimataifa. Ipo wazi kuwa Aishi Manula ambaye…
Yanga SC imekamilisha usajili wa kiungo wa CS Sfaxien ya Tunisia Balla Conte akiwa ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa na mabingwa hao watetezi. Conte rasmi ni…
Mashabiki wa Sporting CP wametoa jumbe za majibu yao kwa mshambuliaji wa kimataifa Viktor Gyokeres huku nyota huyo wa Sweden akikaribia kuhamia Arsenal kwa pauni milioni…
Klabu ya Simba imeripotiwa kupokea mwaliko kutoka nchini Rwanda wa klabu ya APR kucheza mechi ya kirafiki. APR ambayo itaiwakilisha Rwanda kwenye michuano ya ligi ya…
Habari mwanafamilia wa SokaLeo Pitia Kurasa za Magazeti ya taarifa za michezo za leo July 18, 2025
Mpango wa Manchester United kumsajili mshambuliaji wa Brentford Bryan Mbeumo, 25, umekwama baada ya klabu hiyo ya London kuongeza bei yao hadi paini milioni 70. United…
Tetesi za Usajili Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2025/2026 Baada ya msimu wa 2024/2025 kumalizika kwa shamrashamra za mafanikio kwa baadhi ya vilabu, sasa ni…
Kinda mahiri wa FC Barcelona, Lamine Yamal, ametia saini mkataba mpya wa muda mrefu na klabu hiyo, ambao utamuweka Camp Nou hadi tarehe 30 Juni 2031.…
FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC amekabidhiwa rungu la kufanya maamuzi kwa wachezaji ambao wanapaswa kuondoka katika kikosi hicho na wale ambao watabaki kwa msimu…