Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป YANGA SC YAMTAMBULISHA NYOTA WA KISHINDO CHA BILIONI 87
    KITAIFA

    YANGA SC YAMTAMBULISHA NYOTA WA KISHINDO CHA BILIONI 87

    ChikaoBy ChikaoJuly 18, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Yanga SC imekamilisha usajili wa kiungo wa CS Sfaxien ya Tunisia Balla Conte akiwa ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa na mabingwa hao watetezi.

    Conte rasmi ni njano na kijani baada ya kutambulishwa na Yanga SC, Julai 18 2025 tayari kwa maandalizi ya msimu wa 2025/26.

    Ikumbukwe kwamba nyota huyo alikuwa anatajwa kuwa katika rada za watani wa jadi wa Yanga SC ambao ni Simba SC nao walikuwa kwenye hesabu za kuwania saini yake.

    Hivyo vita ya watani hawa wa jadi imegota mwisho na Yanga SC akiwa mshindi kwenye vita ya kwanza ya usajili kuelekea msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

    Yanga SC walianza na ujumbe kuwa ni kishindo cha bilioni 87 ambacho kinakuja kwa mabingwa hao wa ligi wakiwa na mataji 31 kibindoni.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMASHABIKI WAMJIA JUU GYOKERES KISA KUHAMIA ARSENAL
    Next Article SIMBA SC KUFANYA USAJILI MKUBWA KUELEKEA MSIMU MPYA

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.